Another collaboration by Wahu & Size 8 this time delivered in a light hearted animated style. The song talks of the love, saving grace and mercy of Jesus Christ. Watch, enjoy, share!
LYRICS:
VERSE ONE (WAHU)
Yesu aki come mi na dunda
Mziki wa Yesu mi na tunga
Iwe praise ama worship ama rumba
Tunga, Tunga
shetani akicome ni na dunga
na mkuki wa Yesu mi na dunga
nimuone aki go
aaa go low
CHORUS:
Yesu ana gonga *2
mfungulie mlango ana gonga
Yesu ana gonga
Yesu ana bonga *2
fungua moyo wako ana bonga
Yesu ana bonga
VERSE TWO (SIZE 8)
Zaliwa, zaliwa
ndani ya Yesu nimezaliwa
kuwa hapa leo ni majaliwa, majaliwa
nitalia, nitalia, ukiniwacha Yesu mi nitalia
Ukiniwacha Yesu mi nitaliza, nitalia,
sitaki kuwa solo
shetani ana bore
so ni Yesu nina follow
na shetani ana go low low low
na shetani ana go low low low
CHORUS
Yesu ana gonga *2
mfungulie mlango anagonga
Yesu ana gonga
Yesu ana bonga *2
mfungulie wako ana bonga
Yesu ana bonga
Yesu ana gonga *2
fungua moyo wako ana gonga
Yesu ana gonga.
Performed by: Size 8 & Wahu
Written by: Bern Ndungu
Video animation by: Ken Heman @kenheman
Audio produced by: Bern Mziki @bernmziki
Mixed and mastered by: Lucas @ogopathereal