Nakupenda is Swahili for I Love You. In a beautiful blend of lyrics, melody, harmony, music instruments, and emotion, the song “Nakupenda” embodies an intense expression of deep affection shared between lovers. It is the first song off the “An Acoustic Christmas” EP by Vijana Barubaru.
Written by: Vijana Barubaru
Performed by: Vijana Barubaru
Audio Produced, Mixed & Mastered by: Ihaji
Video by: Rahim The Filming King
Guitars by: Komora Evans
Stream more of V-Be's works on Spotify
Follow Vijana Barubaru on social media platforms
Instagram:
Facebook:
X:
TikTok:
@vijanabarubaru
LYRICS
Mhhh, mhhh
Vijana Barubaru na wewe, mhhh
Vijana Barubaru na wewe, nakupenda
Kuna muda njoo tupoteze wakati, raha ukinilalia
Siku inapita ikienda wapi, ka sijakupigia
Ukinihitaji mi ntakosaje nafasi, sema ntakukujia
I've been asking God for you, nilifunga nione muujiza
Kufungua macho I saw you
Down on my knees no wasting time
Wazazi wajuane, family time
Bouncing baby ndio next in line
Meant to be it was set in time
Love ka hii, it's ahead of time
Honeymoon high, the time of your life
Promise we'll stand the test of time
Sadly forever is not enough
Nakupenda, kama nyama choma
Soda baridi na kadoughnut
Nikiwa nawe me hunona,
My sukari
Nakupenda, kama nyama choma
Soda baridi na kadoughnut
Nikiwa nawe me hupona,
Dakitari
Ni wera, ni wera, ni wera, ni wera,
Ni wera kuunda family (Si tuanze wera)
Tuanze wera tuunde family (ah)
Down the aisle with you,
Come home to you (I swear)
Ni wera, ni wera, ni wera, ni wera,
Ni wera kuunda family (Si tuanze wera)
Tuanze wera tuunde family (Down the isle)
Down the aisle with you,
Come home to you
Kama kukupenda dhambi
My soul is a dark night
Tuleave a permanent mark
Endless blood line
Love at first sight (aha)
Sacred soul tie
Talk to me with your eyes
Nitajua kenye unadai
Nmekuona ukiwa thirsty, hungry, nasty
Kukutunza kazi yangu kirasmi
Nakujengea makao, kabla nipate mazao,
Jipange na hio thao
Huyu ni wa nani, huyu ni wangu
Ye hutuma ndanganye maboyz siko kwangu
One plus one hesabu za kutoroka mataabu
Nimjazie kikapu, napenda vile
Nakupenda, kama nyama choma
Soda baridi na kadoughnut
Nikiwa nawe me hunona,
My sukari
Nakupenda, kama nyama choma
Soda baridi na kadoughnut
Nikiwa nawe me hupona,
Dakitari
Ni wera, ni wera, ni wera, ni wera,
Ni wera kuunda family (Yes sir)
Tuanze wera tuunde family (ah)
Down the aisle with you,
Come home to you
Ni wera, ni wera, ni wera, ni wera,
Ni wera kuunda family (Si tuanze wera)
Tuanze wera tuunde family (ah)
Down the aisle with you,
Come home to you
Uuuh uh uh uh uh
Nikiwa nawe mi hunona
Nikiwa nawe mi hupona
Down the aisle with you, (coming home)
Come home to you